Ndoa changa ishuu!

Ndoa changa ishuu!

pmwak

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
26
Reaction score
3
Wiki 2 baada ya haruc,mama alimuuliza bintiye, vp maisha ya ndoa? MTOTO: Du! kama British Airways.
Mama akatoka mpaka airport kuangalia ratiba ya british airways..Akakuta kwa wk inasafir mara 7 na ktk kila siku 1 inaenda trip 3 na kila ikitua inafikia nyuma ya uwanja..
Mama akazimia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom