Napita hapa shinyanga na muda huu nakuta mzinga arusi, Bwana arusi umri miaka 79 na ni mhubiri na bi arusi afisa mmoja wa serikali. Imefana na waungwana wanashangilia ile mbaya. Kwa wazungu huwa style hii maarufu. Hapa uzoefu ukoje?

tatizo vijana wengi wa siku hizi mdebwedo sasa kama babu ngangari wache alambe kimwari vijana wenyewe mumeregea ubishoo mwingi munajuwa kunywa bia na kucheza mziki tu.

Wanakwambia wenyewe mwanaume hazeeki! Ila nikiwa mdogo nilizoea kushuhudia harusi za design hiyo. Nadhani sababu ya ugumu wa maisha wadada wengi walikuwa wanaolewa na wanaume aged. Na wanaume walikuwa wanachelewa kuoa sababu ya kipato. Ila hyo wa 70+ lazima hiyo ngoma itakuwa second or third wife.