Ndoa apangaye Mungu

Hehehe na bado kuna kitambi cha mishkaki ya nundu na kitimoto khaa. Eti kitambi cha makande hahahaha
 
Kila siku kuweka picha whatsap na facebook mmeinua makalio yenu juu bado mnasema ndoa anaye panga ni Mungu?

Jiheshimu ndiyo kitu cha kwanza kinachomvutia msichana/mvulana kutangaza ndoa!
 
Kila siku kuweka picha whatsap na facebook mmeinua makalio yenu juu bado mnasema ndoa anaye panga ni Mungu?

Jiheshimu ndiyo kitu cha kwanza kinachomvutia msichana/mvulana kutangaza ndoa!

Hakyanani...sipati picha kalio likiegeshwa...! Mbona wazap yangu haina marafiki wa hivyo??
 
Kitambi cha makande?? Jamani...
 
Hakyanani...sipati picha kalio likiegeshwa...! Mbona wazap yangu haina marafiki wa hivyo??

Mkuu wewe acha tu ni shida kwa kweli!Mm mmoja juzi nimemfuta kila nikiongea nae kaweka picha ya ama kalio au nyonyo lake!

Simu yangu sometimes binti yangu huwa anacheza games zako nikaona hatari hii eheheheh
 

Makande ya shule noma....nami nikikumbuka lile tumbo langu kama kichuguu nachekaga sana.....
 
Ndoa banaaa.... Ni fumbo kubwa lisilo na mjuzi wa kulifafanua. Kila mtu na majanga yake. Pole sana mtoa mada.... Ukisikia paaah, ujue imekukosa. Aliyelenga kakosea.
 

karibu kwangu
 
Makande ya shule noma....nami nikikumbuka lile tumbo langu kama kichuguu nachekaga sana.....

Yani best acha kabisa makande yalaikua yananipa mkitambi you..ila sasa ivi weeee sina hata kitumbo nimekua kimodooo nafikiria sijui nigombee umiss..hahaha
 
Lol!...gal you killed me...lol!, eti kitambi cha makande, tulikuwa wengi mwaego, halafu sasa ndo waitwa kila jina priti, buitifulii, modeli, achana nalo mwaya, litamanishe, liumize, ling'onge huku unazidi kuwa kazurikazuri!

Hahaaaa yaaani we acha tuu maana ninavyolitamanisha likinikuta niko na mwanaume linatamani kujinyonga kabisaaa nanikipita mahali yuko natingisha sawasawa na nilivyo na katako ndo miudenda inamtoykaa alafu nakua sura ya kazi noo kucheka na likima lile...hata nikimuona na mwanamke hata roho hainikuni ndo kwanza nitamsalimia uyo mdada kwa heshima na mbwembwe zoote napitaa linabaki linageuka geuka kama limefumaniwa hahahaaa nimelipatia mpaka
 
Reactions: kui
Kumbe ni wewe eeeh!!
 
wakivurugwa hua wana busara sana
 

Hahaaaa!, sawasawa!,hawa viumbe kweli ni big 'boys'....
For some reasons ukipungua fulani hata kama ulikuwa hauna @$$ inatokea, keep maintaining gal!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…