Ndo nini sasa!!


Unataka kusema wakenya wavivu sana? Au maji yamezidi unga?
 
Mkuu hawa wote na wengeni kama wapo wa aina hii wa usingizi basi ni hasara na ni hatari sana kwa taifa na hapo ni kamshahara kake ni hewa au ni utapeli kwa taifa
 
kweli usingizi mwana haramu!!hebu weka picha ya mtu aliyelala kwenye maji nithibitishe kauli yangu!!

Niliwahi kulala huku kukiwa na manyunyu ya mvua wakati nikiwa kuruta. Tulikuwa tumehenyeshwa vya kutosha tukapewa fursa kidogo ya kumpuzika.Hata nilivyo lala sijui nilikuja kushituka baada ya kusikia sauti kali ya filimbi kutoka kwa afande. Katika mazingira kama hayo si rahisi kuwa na picha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…