khaaaaaaa Baba V, kwanza pole kwa ban! nilishatalikiana na Young_Master loooong tym, nadhani ndio ulituacha hivyo, sasa hivi nimeolewa mke wa tatu kwa babu Asprin, tena nina mimba ya triplets, babu hebu muwekee ili picha yangu ya mimba! na ile unayonikiss ndio ataelewa! lol! nways karibu tena jamvini, we missed u!
Karibu mkulu!
Afu usisahau kuni-PM na ile ID yako ingine ili nikutuie draft 1 structure ya jukwaa letu la matusi, ili tuitume kwa Maxence Melo ili ifanyiwe kazi.
Wasalaam...
Ahsante mama,i'm back now!
charminglady wamsikia mamako measkron anavyonidhalilisha lolHa ha ha! Mie mamake charminglady, nilimdate watu8 briefly mara akaingia mitini, chezeiya Mimi wewe!!!
ucjali mamangu mpendwa jamani, btw nilikumissje jamani ulikuwa wapi mwanao nakuwa mpweke hivi??????
charminglady wamsikia mamako measkron anavyonidhalilisha lol
hahaha that was a lovely place...and that wine defined the moment