Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not secure loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!
Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not aquire loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!
inakuaje koz waliandika priority halaf nikos kabsa yaaan s2331/0027 not aquire loan for 2013/2014 wakat nimemchekia mwenzangu kapewa na koz hiyohiyo na chuo hicho hicho nit na waliandika possible loan ipo??