Habari zenu wapendwa,
zali limendondokea nimegongewa visa ya mwaka mzima kwenda kwa Obama. Hapa nilipo niko on transit mitaa ya dubei kwa waarabu wa wese. Sasa bana hii ndo mara yangu ya kwanza kuja huku, msinicheke ila kwenye ndege nimekunywa maji mengi mno na apple juice. Pia nimekula msosi wote kila kitu nilichowekewa sijabakisha kitu kwenye trei. Hapa nakusibiri kukonecki ndege kuelekea kwa Obama nikasema wacha niwashirikishe wadau wenzangu, ila msiniulize hilo zali la kwenda kwa Obama nimelipataje. Ntakuwa huko kwa mwaka mmoja visa ikiisha narudi bongo (mission have to be accomplished looh). Nikirudi lazima kilugha kiwe kimebadilika looh you know what am saying zitakuwa kwa wingii hehehehee ila kiyoyozi kikali hapa aiport balaa halafu nimepiga umini sasa daah wacha nikatafute stockings.
Ndo mara yangu ya kwanza hii kwenda kwa Obama, mlioko huko mtakuja kunipokea airport? msijali niko full loaded no string attached.....
See you later guys, always Kasinde!!

aya kila la kheri