Ndo CCM ilipofikia

Mkuu umesema yote
 
Duuh kisa nini mkuu mpaka umeamua kuhama kule CCM???
Kuwalaghai watanzania,halafu wao wanajifanya wasafi,wakati juzi tu kio gozi mmoja kashikwa akikwepa kodi mchana kweupe halafu amekanusha kuwa mzigo sio wake wakati ni wake ila ni kulaghai watamzania, mwenyekiti nae anakomaaa na tuviongozi njaa,ile bombombadia tuliambiwa na Liasu kuwa ni mbovu makame mbarawa badala naye kupigwa chini akahamishiwa wizara nyingine ili mambo yabaki chini ya Carpet.
 
Hivi katiba yetu inasemaje iwapo raisi atawehukia ofisini?!!...."Eti CCM itatawala milele"..tukiyaaacha haya yaendelelee iko siku ataaamrisha vita dhidi ya mkoa wa Kagera kwa sababu jina la Mto Ngono limemuudhi sana...na Mabeyo naye atasema "ndoho tabhu guku"
 
Sasa kama m/kiti hasikliz wajumbe anatoa amri kama mwl mkuu s/m churttle dawa yake ni kuvujisha tena zile amri za king'ombe Ng'ombe ni kuzianika hakuna namna huenda itaokoa taifa
 
Sasa kama m/kiti hasikliz wajumbe anatoa amri kama mwl mkuu s/m churttle dawa yake ni kuvujisha tena zile amri za king'ombe Ng'ombe ni kuzianika hakuna namna huenda itaokoa taifa
Dawa ipo
 
Busara hizi nazihifadhi ,Laiti wangekuwa na nusu tu ya maono haya hakika tungesonga mbele .
 
Du, kweli umeamua.
 
Kuna vijana wa kibongo na nafanya na CISCO SYTEME kuna vijana waliokuwa watanzania lakini hizi sheria za kingese kuhusu dual citizenship zimewaweka neutral,

Lakini wanajua CCM ili ikipiteza pumzi Dual Citizenship inatia timu chini ya uongizi wa LISSÙ hawa rutawaoanga tuone hiyo biometric inayoandali na Mkuu wa makontena hao vijana anaowapanga wafanye kama ile siku ya Lowassa lakini ombi langu ni moja JANUARY MKAMBA ni mtu muhimu sana.

Tupange mikakati ya kumpata kumpanga rukikubaliana nae hata Wizara ya fedha inamfaa.

Na waangalizi kutoka UN lazima wasimeme imara,sii wachanganywe na viwiski.

Mikoa ambayo ni ngoma yetu CHADEMA hela yao tynakula na wao tunawapunzisha.
 
CCM ilipigwa vibaya na Dogo kule Buyungu,sema washakaji tukapotezea tu,siku akifungulia Mikutano mimi binasfisi sintolala tutaanza kupanga mikakati tukishaivisha muungano wa CUF/DEMA...tunauweka sawa tukimaliza maalim Seif Anadanya Ziara Belgium Tunajua CCM inaingiza nguvu nyingi kwenye chaguzi ndogo kwa sababu huwa kuna ka utamadununi ka kingese kanakosemaga changuzi ndogo ni kipimo cha uchaguzi mkuu...kudaaaadeki tunawaacha wanaingiza mabilioni sisi tunawacheki tu uchanguzi mkuu ndio lengo na lenzi yetu nguvu zote....Lissu anatia timu anapeoerusha bendera wataamini uchaguzu mdo tulikuwa hoi......Tundu Lissu na Maalim wanàingia kitaaa vijana wetu anti hackers wakiwa tumewachimbia sehemu ambayo wataonekana kama wataliii.....tunaling'ioa gamba kwa zile randa za kizamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…