Ndo CCM ilipofikia


CCM na viongozi wake wote wangetimiza hata nusu ya haya uliyoyaorodhesha humu; na hasa utawala wa sheria na kulinda haki za kila mwananchi; mwaka 2020 wasingehitaji hata kuweka kampeni nzito ya kuendelea kuwepo madarakani ili watimize hiyo nusu nyingine ya hayo uliyoorodhesha.

Kwa bahati mbaya sana CCM na viongozi wake wameamua kukandamiza haki za wengine na kutofuata taratibu na sheria , na hata Katiba ya nchi wakidhani kuwatia woga na hofu ndio njia nzuri kwao kuendelea kutawala na kupewa sifa.

CCM yenu hii inavuruga kwa maksudi kabisa umoja wetu uliowekewa misingi mizuri na waasisi wa taifa letu. Madhumuni yenu ya kufanya hivi hatuyajui kabisa! Je tukifarakana ndio mtatawala milele kama mnavyojigamba?
 
Acha tu wadakane uchawi...
 

Hili ni Jungu kama yalivyo Majungu mengine!
Wewe ulijuaje kuwa anavujisha?
 
Haya maoni yako ungemwandikia m/kiti wa Chama
 
Kaka naiomba inbobo hiyo clip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…