Ndo CCM ilipofikia

Ona sasa na wewe unavujisha siri kuhusu huyo waziri kijana atakayenyfolewa kwenye kiota.
 
Safari hii tunawashinda tena halafu wajifanye king'ang'anizi tunawatiia aibu mbele ya waangalizi wa kimataifa,waanaachia madaraka,tuone jeuri ya huyo mkuu wa mkoa wa Dar yeye ndio inakuwa zamu yake kwenda kuishi guest house segerea.
 
Chadema tunahitaji katibu mwenezi mpya katibu mkuu yuko kamili gado niliona ile nyomi ya tarime jamani tujioangeni kwelikeli .

Hata siku wakifungua hiyo SGGR watapanda mdezi tu watu hawana hela hela zinapigwa halafu mwenyekiti anajifannya yuko serious kweli kumbe mkwara ulioungwa kwa bamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…