britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,181
- 41,655
Hapana sina furaha yeyote maana ni unyanyasaji kisiasaKwahiyo mwezi wa kwanza akiliwa ndo furaha yako?,bado yupo sana
Bwana MaropeMbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Mwache aende..... Gudu bai maropuMbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Laana ya uchaguzi mkuu 2015 lazima itafune kila aliyeshiriki wizi , JK kaa tayari kwa lolote , Mungu hadhihakiwi .Mbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Hata afanye vipi hataweza kutuliza Tanzania nzima. Atamwondoa huyo waziri lkn atapatikana mwingine. Ni maumivu wanayoyaona na mipango miovu dhidi ya Watanzania unajikuta unavujisha.Mbona hatuaminiani, kuna muda nimeweka rope hapa wakaikata mods, sitakata niirudie maana ilikuwa inahusu kikao cha dharula sehem fulani,
Wana CCM ndo mnaunda serikali kwa kupewa dhamana na Taifa na wananchi wake,
Kuna waziri mmoja anavujisha siri za baraza ilo na kina Ngurumo wamemfaidi sana kule walipo, jamani tuaminiane, tumkosoe hapo hapo kama anakosea, tumdhibiti kama anataka kuvuka mpaka lakin so vema kuvujisha siri hizo, hivo kichwa cha waziri mwingine ambaye alileta mvuto naye anaondoka soon Tuwe wakweli
Baraza linamkosa Nchemba ,Nape sasa na huyu kijana dahh
Britannica
Waongo hawa achana nao majichandrama na majistory yao ya kuzuga watu walahiKwahiyo mwezi wa kwanza akiliwa ndo furaha yako?,bado yupo sana
Ndo hivo bwanaMwache aende..... Gudu bai maropu
Hivi ndivyo unashabikia! Huu ni utoto maana ardhi ni mali ya taifa katika Tanzania!Mungu libariki Sauti kubwa .