Ndiyo mzee: Slogan mpya CHADEMA

Mtasema sana, kwetu kasi ni ile ile.....
 
Wenye akili timamu wote hawawezi kuwa chadema,kule ni dili tu
 
Udini na ukanda hauna nafasi ktk uchaguzi huu.
 

Kutafuta kura makanisani na misikitini bila sera -ndio mzee
 
Mchaguen Lowasa Ndio Mzee Tutamchagua Tukutane October 25
 

Mbona we umeendelea na kibwagizo cha kidumu chama cha mafisado ukasema kidumu
Nawe toka ufikir ipasavyo
Tunahitaji viongoz na sio watawala wa chama tawala wasio jua majukumu ya uongoz
 
Wewe kuwepo ukawa mwisho oct 25 lile fisadi lako likipigwa mweleke utalia sana lazima ubadili id.

Mbona huyu kaishabadili sana ID zake, tangu Msalani na kikofia cha kijani na hii nadhani atajiita "choo"
 
Lowassa mpaka ikulu-ndio mzee
 
Lowassa ndio Rais... kila kitu kinajulikana... Mpango wa Mungu huo...!!!
 
Labda munywe sumu msishuhudie lowasa akiapishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…