Wimbo huu wa Rose Mhando umenifariji sana wakati wote nikiwa njiani kuelekea nyumbani kumuona mama yangu mzazi. Kama nawe unayo albam hiyo tafadhali usikilize kwa makini na wakati ukiusikiliza, mawazoni mwako jihesabu kuwa uko na Tutor B kwenye usikilizaji huo.