Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,644
Wakwangu ilifikia hatua nikifika sehemu hizo natafuta sehemu ya kukaa maana atazunguka weee huku pesa yenyewe kiduchu tuNdio maana siongozani na mke wangu kwenda shopping!
Ndio maana napenda kwenda peke yangu maana hata ukiona kitu kizuri ukigeuka kuuliza vipi hiki tuchukue? Unakuta mtu kanuna na mkono kiunoni halafu hujibiwi nini sasa?Ndio maana siongozani na mke wangu kwenda shopping!
Sure
Damn true