Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Habari wakuu?
Asikwambie mtu kitu, hakuna kipindi kigumu anachopitia mwanaume maishani mwake kama pale anapofulia na kukosa hata pesa ya kuhonga, "inashangaza sana"mwanaume anaweza kujisikia vyema na mwenye subira anapokuwa kwenye shida ya aina nyengine yeyote ile maishani lakini si kukosa pesa au kitu cha kumpa mpenzi wake hasa pale anapoombwa kufanya hivyo, ni bora kwake akose kula,akose kunywa lakini awe na cha kumridhisha ampendae, vinginevyo ni huzuni na majonzi kwake na anaweza hata kuchanganyikiwa.
Kinyume chake kwa mwanamke hali inakuwa mbaya sana pale anapokosa mwanaume wa kumuhonga, haitoshi kwake kumiliki kiasi kikubwa cha mali, ili awe na amani ya moyo na furaha ya kweli ya maisha basi apate mwaume wa kumlia pesa yake, Mwanamke huiona Jero au buku anayohongwa na bwana'ake kuwa na thamani kubwa kuliko milioni aliyoitafuta mwenyewe.
Sijui wanajisikiaje pale wanapotulia vijisent vyetu!?