Ndio tumefika, mahali hapa!

Waache waendelee kujidanganya!
Tanzania ya leo, sio hile ya kipindi kile....
 
Hii ni kinyume kabisa na katiba, katiba inamupa kila mtu uhuru wa kujiandikisa kuwa mpiga kura au kutojiandikisha kuwa mpiga kura, huwezi lazimisha mtu ajiadikishe kuwa mpiga kula, Mungu wangu huyu msukuma alitoka wapi??? mungu sisi watz wapenda demokrasia tumekukosea nini???magufuli is becaming worse than mobutu, idi amin and abacha, but time is up, his time is slowly coming to an end, you cant opress people as if their lives hangs in your hands A BIG NO
 
Well said.
Time will tell....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…