Mimi ata wakija na polisi na pingu sijiandikishi kamweKazi kweli kweli.
Jana zimeongezwa siku tatu, kesho tutasikia madaftari yanapita mlango kwa mlango......!!!
Shida yote ya nini, si afuate tu misingi ya demokrasia ya kweli!
Acha tu wajipepee..!!Wacha joto tu liwe kali mana wameyataka wenyewe mtoto umleavyo ndivyo akuavyo walivyokuwa wanafanya walitegemea nn
Kwani kuna kesi dhidi ya serikali endapo wapiga kura watajitokeza wachache na ccm ikàshinda kwa 100%?
Nilikuwa nasikiliza radio fulani asubui hii mpk sasa dar ni 8% tu waliojiandikisha
angalau ameeleweka sasa kwa wananchi kwa kiwango fulani ombi langu kwa mungu aongeze kukaza nati ili vyuma vibane zaidi ya hapa
Mimi ata wakija na polisi na pingu sijiandikishi kamwe
Tusije tukafikia kuwekwa ndani ya Nondo kisa kugoma kujiandikisha
Pale mtu anayejigamba kukubalika anapolazimisha kukubalika.
Tusije tukafikia kuwekwa ndani ya Nondo kisa kugoma kujiandikisha
Well said...Kwenye hili umma unapaswa kusimamia ukweli, tukichagua kuwaogopa, wanasiasa wataendelea kutuburuza maisha yetu yote. Msimamo ni kuwa hatupigi kura na sababu za msingi tunazo na mifano halisi tunayo. Tutakuwa taifa la ajabu iwapo tutendelewa kutiwa vidole vya macho na bado tuwaogope wahuni eti kisa wana madaraka.
Hapo walipo hii hali ya kususia kupiga kura imewatisha, ni juu yetu kutumia njia hii ya amani kuleta mabadiliko tunayoyataka bila kutegemea mwanasiasa yoyote, kwani wao inaonekana wameshindwa. Hatuna tume huru ya uchaguzi, hatuna katiba mpya na hela zimeshaliwa kwenye mchakato, kisha mwanasiasa mmoja anasema hataki katiba mpya na bado tunaendelea kushiriki chaguz za dhuluma, kama sio wendawazimu huo ni nini?
Wanzuki anajua fika kwamba wana hatumuelewi tungekuwa nchi korofi tungeshamkimbizaPale mtu anayejigamba kukubalika anapolazimisha kukubalika.
Nilikuwa nasikiliza radio fulani asubui hii mpk sasa dar ni 8% tu waliojiandikisha
Kwani kuna kesi dhidi ya serikali endapo wapiga kura watajitokeza wachache na ccm ikàshinda kwa 100%?
Vitisho ndo vinaendelea kuingia taratiibu, mara utasikia mwalimu ni lazima unipigie kura kwa sababu nakuripa mshahara, ngoja tuendelee kutega sikio.
Wanzuki anajua fika kwamba wana hatumuelewi tungekuwa nchi korofi tungeshamkimbiza
Natumai baadae litatoka tamko la kwataka wale wote walojiandikisha wakapige kura la sivyo hatuakali za kisheria zitafuata
Hii sio huko tu....!!Baadhi ya sehemu Wana hamasisha wanafunzi wa secondary wenye miaka 18 wakajiandikishe ktk vituo vya uchaguzi....
Yajayo yanafurahisha..