Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,575
Kazi kweli kweli.Pale mtu anayejigamba kukubalika anapolazimisha kukubalika.
Mmbado!!!Upinzani ni uadui, kushangilia ujinga ndio uzalendo!!! Watu wanafanya kampeni huku wengine wamezuiliwa!!! Domokrasia
Pale mtu anayejigamba kukubalika anapolazimisha kukubalika.
Hapa kuna funzo kubwa sana la kujifunza demokrasia ya kweli wala haitaki kutumia mabavu ni kufuata taratibu mambo yanaenda yenyewe
Kazi kweli kweli.
Jana zimeongezwa siku tatu, kesho tutasikia madaftari yanapita mlango kwa mlango......!!!
Shida yote ya nini, si afuate tu misingi ya demokrasia ya kweli!
Exactly.Hapa kuna funzo kubwa sana la kujifunza demokrasia ya kweli wala haitaki kutumia mabavu ni kufuata taratibu mambo yanaenda yenyewe
Kabisa kila jambo linakuwa na ukomo wake ngoja tuone mwisho wakeExactly.
Haya wanayoyafanya, kamwe hayawezi kuwasaidia. Maana ipo siku isiyo na jina, sarafu itapinduka....
"...hatunaga mtu wa milele daima, ila tuna tukio la milele daima..."
Waache waendelee kujidangany...Wacha wajidanganye ila tunacho shukuru sisi wanyonge ni kuwa sasa dunia yote inaelewa nini kinaendelea
Tukisema kina sisi utasikia wewe ni agent wa mabeberu
Nakuwa na wasiwasi na vitu Kama hivi kwani ni uthibitisho mwepesi huu mpk nitoe povu hapa.
Kabisa kila jambo linakuwa na ukomo wake ngoja tuone mwisho wake
Nasikia jikoni kwao joto ni kali sana kiasi kwamba watu wameanza kutembea vifua wazi
Nilikuwa nasikiliza radio fulani asubui hii mpk sasa dar ni 8% tu waliojiandikishaYah, tusafishe macho na masikio.
Time will tell...!!