ndio styke mpya au??

ndio styke mpya au??

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
Wadau tusaidiane,hivi hii stlye waliyokuja nao dada zetu ya kuvaa madera mepesi na kuchomekea kwenye pindo za juu za ch++pi ndio dizaini mpya au??huu niliyemuona leo ni wa pili
 
heading yako umekosea.
kuna uzi kama huu ulishawekwa hapa jamvini siku zanyuma rudi kautafute usome
 
Wadau tusaidiane,hivi hii stlye waliyokuja nao dada zetu ya kuvaa madera mepesi na kuchomekea kwenye pindo za juu za ch++pi ndio dizaini mpya au??huu niliyemuona leo ni wa pili

Kweli kabisa mzee wa PONO. Juzi juzi kuna mmoja nilimuona nikajiuliza sasa pale kachomekea kwenye Chpi au ndo hilo jigauni lilivoshonwa! wadada bhana
 
Back
Top Bottom