Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 391
- 876
Hakika hao wanajua sheria, shuka tuu mkuu!Nipo Mtwara natokea Lindi kw kosta; ndo tunaambiwa tushuke sheri coz hawaruhusu kujaza mafuta cc tukiwemo ndani?πππ Dar hamna iko kitu na mabasi kila saa sheri na cc tupo; hii sheria ipo Mtwara tu au Mtwara ndo wanaitii tu?
ππSheri ndokitu gani?? Kwa huu uandishi nimeghaili kuowa mmakonde
Sheri π€π€,Nipo Mtwara natokea Lindi kw kosta; ndo tunaambiwa tushuke sheri coz hawaruhusu kujaza mafuta cc tukiwemo ndani?πππ Dar hamna iko kitu na mabasi kila saa sheri na cc tupo; hii sheria ipo Mtwara tu au Mtwara ndo wanaitii tu?
Mbona hata wewe uandishi wako umekaa ki MEMKWASheri ndokitu gani?? Kwa huu uandishi nimeghaili kuowa mmakonde
Aunt nitakupigaπ€£π€£π€£π€£MTANGAZAJI: watu wanadai wamakonde hwajui kutofautisha M na N kwenye herufi M wanaweka N mfano Mtwara wanaita Ntwara je hii ni kweli?
MMAKONDE: Hapana sio kweli hiyo inategemea Ntu na Ntu π
Huko N'jini ukisikia NTAMA(MTAMA) siyo Ntama wa kula, ni Ntama ngwala hiyo. ππ€£MTANGAZAJI: watu wanadai wamakonde hwajui kutofautisha M na N kwenye herufi M wanaweka N mfano Mtwara wanaita Ntwara je hii ni kweli?
MMAKONDE: Hapana sio kweli hiyo inategemea Ntu na Ntu π
πππAunt nitakupigaπ€£π€£π€£π€£
ππππHuko N'jini ukisikia NTAMA(MTAMA) siyo Ntama wa kula, ni Ntama ngwala hiyo. ππ€£
Mgeni wa Jiji umejuaje hivi nakati mi Mzaramo wa kitambo jijini Dar ila sijui?Ni vile tu hamkuambiwa mzime na simu Mkuu.
Petrol ni upepo, kitu kidogo tu mlipuko wake hamna atakayepona hapo.
Wapo sahihi, kwenye kituo cha kujazia mafuta gari izimwe, abiria wote washuke kwa usalama zaidi.