Mgariga
Senior Member
- Apr 1, 2011
- 178
- 63
Wito wangu hapa kumezuka katabia wa kuomba wapenzi utadhani wapo serious kumbe matapeli wakubwa tena sijui washamba m2 hata humjui ushaanza kumbom mizinga mara mtoto anaumwa sijui bebiii sijasuka nina mwezi mara viatu vinanibana hivi kabla hujamjua huyo uliye mpata hapa jamiii ulikua huna chanzo cha kipato acheni uswahili hasa nyie wadada mnakera sana. jitu zima lakini akili matope banaaaa