Salamu kwa wana jf wote!!
Leo nimekuja na hili,
Nina mpenzi wagu ambaye tumepanga kuoana ndani ya mwaka huu, jamani tunaishi kama kaka na dada, yaan hatufanyi mapenz, mpenz wangu yupo bize sana na kazi na biashara, kwa mtazamo wangu naona kama hanijali kama ninavyomjali mimi, hanisaidii kwa chochote yaani toka tumejuana hata sent tano yake siijui, hana time ya kusema hata aninunulie zawadi even ch..u..p ya elfu moja! Ana gari lakini ila mimi sina cha ajabu nikienda kwake nikishuka kituoni ananiambia chukua tax afu kwa hela yangu sio kwamba atalipia.
Simuelewi maana kama ni hela analipwa mara mbili yangu na biashara anapata laki 6 kwa siku. Zaidi yupo makini sana na simu yake hakubali hata niishike, hata akiingia kuoga sijui anaificha wapi, mara nyingi anachat tukiwa wote nikimuuliza anasema ni watu wa biashara.
Hebu nisaidieni wandugu wenye wapenzi ndivyo mnavyoishi? Naombeni ushauri wenu nin cha kufanya,
Angalizo; yeye sio mchaga.
asanteni,