englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Halafu eti nchi ikwamuke!!!!!! Thubutuuuuuu
Jiulize ofisini wanafanya nini kama hapo bungeni wanafotoana!!!!
wanarushiana picha za akina wema,masogange wakionyesha makalio.
tabasamu kidogo...angalia kwangu kidogo aaah...enheeee fotoo.ukiituma hii ataipenda sana ...<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Haa haa nchi ya kitu kidogo,nchi ya watu wadogo. Yaani hapo bungeni kwa hii picha sijui huyo anayepiga ni kama Magufuli japo sina hakika sana basi atakataa kabisa
Nakumbuka WasirA nae alijitetea sana alipolala Bungeni.