uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
wewe ndio unataka habari za chagadema sisi wengine walaaaaa..kuna tv gani imeshakufa tanzania tangia umekuja hapa duniani?
Si mlikuwa mnaisifia clouds juzi tu hapa?Usemacho ni kweli mfano Clouds na Star TV,achilia mbali TBCCM
Si mlikuwa mnaisifia clouds juzi tu hapa?
Nmeamini kuwa mfuasi wa chadema ni full stress,
Hahahaha.... Unaongelea yule mwenyekiti anaye taka kumuoa Wema au?Pole msome niliyemjibu usije ukawa kama Mwenyekiti wako kukurupuka ndiyo JADI yenu
Hahahaha.... Unaongelea yule mwenyekiti anaye taka kumuoa Wema au?
Ccm kwani ili tbc ni Yao?nilikuwa sijui.Mkuu nani kakuambia mkutano wa CCM una watazamaji wachache kuliko CHADEMA?
Halafu anzisheni vyombo vyenu vya habari ili mfanye mtakacho ebo!! Tusipangiane cha kufanya.
Duh, nyie wajinga sijui nan kawaloga.Uko sahihi sana .. Star TV imepoteza ma elfu ya watazamaji kipindi cha asubuhi tangu wamrushe BASHITE....
ACHA VITUO VIFE TU.
Itv wakionyesha coverage ya Ndesa leo watajivunia watazamaji wapya wengii. Wacha tusubiri.
Huyo mtoa MADA atakuwa ni mtoto wa juzijuzi...haahaaaaaaaaaa chombo gani cha habari kimekufa kwa kushindwa kutangaza mkutano wa CDM?