Ndio maana raia wema wanaiogopa mikutano ya chadema

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,707
Reaction score
4,578
Nimeangalia mkutano aliokuwa akihutubia Heche, ambao ulikuwa na watu kama ishirini hivi, maneno aliyokuwa anayatoa kwenye jamii, hayaashiri kwamba ni mkutano wa chama cha siasa, zaidi ya wanaharakati waliotumwa na wazungu waliberali kuchafua amani ya nchi. Tangu aanze mkutano huo wenye idadi ndogo ya wahudhuriaji, amewatukana sana askari polisi kwa kuwaita wapumbavu,ukoo wa panya, wezi, na kudai kuwa eti yeye yuko tayari kudai katiba ya wananchi hata kwa damu! Sasa tujiulize, kwa mtindo huu wa mikutano ya kutukana askari na wao wapo wanalinda mkutano huo huo, unadhani iko siku wanaharakati hawa wataweza kuchukua nchi kweli! Na pia kama mtu unataka kumvutia upande wako kisiasa, sio kwa kejeli na matusi ya wazi wazi namna hii, maana mikutano ya namna hii amani haikawii kutoweka, na hao viongozi ndio huwa wa kwanza kula kona! Wananchi ikataeni mikutano yao ya kichochezi, wao wakiumia watapelekwa Apolo, (Kiwia) ila wewe na mimi tutaishia hata kukatwa miguu. Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
 
Na sio kuwa wanatoa ulinzi kwao tu, bali hao polisi aliowaita wajinga na wapumbavu kwenye mkutano wa jana pale Musoma, ni wapiga kura. Alipokuwa anahamasisha watu wajitokeze kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni pamoja na hao wanjinga, wapumbavu na ukoo wa panya. Nasema kila siku Viongozi wengi wa CDM si wanasiasa, hawajui mbinu za kusiasa kupata ushindi wabaki kuwa wanaharakati.
 
tukiwa na waanzishaji wa thread matahira kama huyu basi ni majanga...
 
Samahani ndugu , nasema nyote mlio mjibu ndugu Ghostryder mmashambulia pasivyo haki na wengine kumtukana , na hali yeye katasema aliyoyaona. Hili jamani sii jukwa huru. Tuache jizi tabia mbaya.
 
tukiwa na waanzishaji wa thread matahira kama huyu basi ni majanga...

Angalia marudio ya Taarifa ya Habari ITV baadaye utaelewa nini kinazungumzwa. Heche na Mwenyekiti wa Bavicha wamefanya vituko Musoma jana,
 
Na sio kuwa wanatoa ulinzi kwao tu, bali hao polisi aliowaita wajinga na wapumbavu kwenye mkutano wa jana pale Musoma, ni wapiga kura. Alipokuwa anahamasisha watu wajitokeze kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni pamoja na hao wanjinga, wapumbavu na ukoo wa panya. Nasema kila siku Viongozi wengi wa CDM si wanasiasa, hawajui mbinu za kusiasa kupata ushindi wabaki kuwa wanaharakati.

mpumbavu mpumbavu hana jina lingine...
 
unaweza kukuta aliyeandika ni mwanaume..? Tanzania limekuwa taifa la wanaume waoga, cowards kama makuku ya kisasa..kusikia heche kutaja damu tu...mtu anataka akajifiche uvunguni...hawa wakina sita na change mpaka waje wawawabake ndo akili zitarudi...taifa la wanaume waoga ni taifa mfu
 
Angalia marudio ya Taarifa ya Habari ITV baadaye utaelewa nini kinazungumzwa. Heche na Mwenyekiti wa Bavicha wamefanya vituko Musoma jana,

Vituko kwa mtazamo wako kwahiyo nyinyi ndio mnashauli hivyo ilichama kikue eti CCM wanatoa mbinu kwa CDM iendelee kukua maajabu ya mwaka nikwampumbafu tu ndio atapokea ushauri wako.
 
Kama una hakili timamu huwezi kusikiliza mane no ya MTU aitwaye heche suguta
 
Nimeangalia mkutano aliokuwa akihutubia Heche, ambao ulikuwa na watu kama ishirini hivi, maneno aliyokuwa anayatoa kwenye jamii, hayaashiri kwamba ni mkutano wa chama cha siasa, zaidi ya wanaharakati waliotumwa na wazungu waliberali kuchafua amani ya nchi. Tangu aanze mkutano huo wenye idadi ndogo ya wahudhuriaji, amewatukana sana askari polisi kwa kuwaita wapumbavu,ukoo wa panya, wezi, na kudai kuwa eti yeye yuko tayari kudai katiba ya wananchi hata kwa damu! Sasa tujiulize, kwa mtindo huu wa mikutano ya kutukana askari na wao wapo wanalinda mkutano huo huo, unadhani iko siku wanaharakati hawa wataweza kuchukua nchi kweli! Na pia kama mtu unataka kumvutia upande wako kisiasa, sio kwa kejeli na matusi ya wazi wazi namna hii, maana mikutano ya namna hii amani haikawii kutoweka, na hao viongozi ndio huwa wa kwanza kula kona! Wananchi ikataeni mikutano yao ya kichochezi, wao wakiumia watapelekwa Apolo, (Kiwia) ila wewe na mimi tutaishia hata kukatwa miguu. Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
Mkuu wangu tunashukuru kwa angalizo lako, watanzania wapenda amani wakusoma na kukuelewa.
 
Bhangi za kuvutia chooni hizi. Unatujazia server kwa huu uchafu wako.

Halafu wee Batabovu, una majibu ya ajabu ajabu, najua ni athari za viroba vya asubuhi na uchovu wa kuandamana bila kikomo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu tunashukuru kwa angalizo lako, watanzania wapenda amani wakusoma na kukuelewa.

Hakuna Watanzania wapenda amani ila tunawatanzania waoga na nyinyi mnajivunia uoga wao ilikupitisha agenda zenu kwa nguvu ambazo zinawanufaisha nyinyi na vizazi vyenu.
 
Nimeangalia mkutano aliokuwa akihutubia Heche, ambao ulikuwa na watu kama ishirini hivi, maneno aliyokuwa anayatoa kwenye jamii, hayaashiri kwamba ni mkutano wa chama cha siasa, zaidi ya wanaharakati waliotumwa na wazungu waliberali kuchafua amani ya nchi. Tangu aanze mkutano huo wenye idadi ndogo ya wahudhuriaji, amewatukana sana askari polisi kwa kuwaita wapumbavu,ukoo wa panya, wezi, na kudai kuwa eti yeye yuko tayari kudai katiba ya wananchi hata kwa damu! Sasa tujiulize, kwa mtindo huu wa mikutano ya kutukana askari na wao wapo wanalinda mkutano huo huo, unadhani iko siku wanaharakati hawa wataweza kuchukua nchi kweli! Na pia kama mtu unataka kumvutia upande wako kisiasa, sio kwa kejeli na matusi ya wazi wazi namna hii, maana mikutano ya namna hii amani haikawii kutoweka, na hao viongozi ndio huwa wa kwanza kula kona! Wananchi ikataeni mikutano yao ya kichochezi, wao wakiumia watapelekwa Apolo, (Kiwia) ila wewe na mimi tutaishia hata kukatwa miguu. Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
Upuuzi mtupu.
We usilete unafiki hapa hakuna kiongoz atakaeweza kuwa level sawa na anaeongozwa ndiyo maana akaitwa kiongozi.
Simple logic mbona rais wako unaemwona yuko sawa na viongoz wako wa chama cha kijani ambao sio wachochez wako karibu na wananch, wakiugua kdgo tu wanapelekwa nje kutibiwa ww ukiugua unaenda hospital ya kata tena unapanga folenii, we hlo ulioni unaliona la Heche kutibiwa nje
Hahahaaa...... acheni siasa uchwara kipimo cha idadi ya watu kwenye mikutano isiwe tabu ni bora watu ishirin waliokuja kwa hiyar kuliko mamia yaliyosombwa na fuso plus sare juu
 
Back
Top Bottom