Kushikana mikono ni salamu yenye kuashiria ukaribu, lakini tahadhari tukumbuke kunawa mikono kabla ya kula na tunapotoka maliwatoni. Nakumbushia tu!
![]()
Kushikana mikono ni salamu yenye kuashiria ukaribu, lakini tahadhari tukumbuke kunawa mikono kabla ya kula na tunapotoka maliwatoni. Nakumbushia tu!
![]()
Ofisi gani hiyo........this totally gender bias hapo kwenu tu ndo mpo hivyo kwingine usitulazimishe!Na hasa wanaume ndio hamna kawaida ya kunawa mikono (Sahamani lakini) huu ni uzoefu tu nao uona hapa ofisini
duh, hizi picha zingine sasa ni majanga!!!:yo: