Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,843
Kwa yaliyotokea leo Arusha ni ushahidi mwingine kuwa hawa jamaa si watu wazuri na hawastahili support yoyote bali ni kuwachana tena live bila kumung'unya maneno kama ambavyo siku zote Lissu amekuwa akifanya.
Siasa za kistaarabu hawa jamaa hawana na wala msidhani wanawapenda bali huwa wanawachekea kinafiki tu lakini rohoni wana chuki mbaya dhidi yenu na wote tunastahili kuwa treat the way Lissu anavyo wa-treat.
Ni mara chache sana kumsikia Lissu akiwasifia au kuwapongeza hawa jamma au hata kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa bali siku zote amekuwa akiwakosoa/akiwachana kwa kutumia strongest posssible terms and this is what they always deserve.
Hawa watu wamezidi uhuni na siasa za kistaarabu zimewashinda hivyo wanastahili kile ambacho siku zote Lissu amekuwa anakifanya kwa kuwaambia ukweli hata kama lugha anayotumia inaweza kuwa ni ya kuudhi.
Ukitamka maneno ya kijinga atakwambia wewe ni mjinga,ukifanya mambo ya ajabu atakwambia wewe ni mtu wa ajabu,ukijipendeza atakwambia unajipendekeza,n.k because this is the kind of language they deserve kutoka na kauli na matendo yao and nothing else.