Hiyo ni habari mchanganyiko, angesema Lowasa ni rais mwaka 2015 akaishia hapo hapo wala nisingepata shida lakini anaposema Lowasa ni rais mwaka 2015 then akamalizia na no comment maana yake inasumbua mukichwa changu.Is either Lowasa hafai kuwa rais mwaka 2015 ama Lowasa anafaa kuwa rais mwaka 2015 na hataki ubishi.So in short sijamjua mwandishi alikuwa anamaanisha nini