hivi kweli huyu jamaa alienda wap??View attachment 97661
Mbuzi Mzee alikua maarufu sana Jukwaa la Maphotos, utakumbukwa sana na Watu8, Mzizimkavu, Boflo, Madamex, Grafani, Boflo, Kongosho, Mbu, Nyani Ngabu, Kangabo, Amavubi, Mwali, Kasaloo kyanga, Kyanga Songa na wengineo ambao watajiongeza hapa
Kweli kapotea...
Mkuu kwa kweli ninamkosa sana hapa ndani. Bila shaka itakuwa ban, maana Mbuzi Mzee alikuwa anatupia maphoto tata ajabu.View attachment 97661