nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Tabia ya watanzania kuendekeza kutaka vitu vizuri kwa bei pungufu ya soko imepelekea matapeli kuwa Na kazi rahisi ya kufanya yao, watu wakioneshwa kiatu/shati/suruali nzuri huku wakitajiwa bei pungufu hata ya nusu ya bei halisi hawafikirii Mara mbili kutoa pesa Na kufungiwa mzigo kisa?, bei poa!, matokeo yake wanunuzi wa simu wanauziwa sabuni, perfume-makopo yaliyojazwa maji nk. Sasa kali ya mwaka Ni hii ya kuuziwa plywood kwa maana ya tv ya flat screen.
My take:- Tutajukomboa Na utapeli Kama huu kwa kujenga utamaduni wa kununua mahitaji kwa wauzaji rasmi Na kwa bei ya soko Tu!.
My take:- Tutajukomboa Na utapeli Kama huu kwa kujenga utamaduni wa kununua mahitaji kwa wauzaji rasmi Na kwa bei ya soko Tu!.