Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Acha wivuu
Kuwaambia wasiojitambua ukweli ni wivu siku hizi? Mhhhh, endeleeni kuwa ma-alosto. Diamond yuko anakunya sasa hivi, unasemaje?
Acha wivuu
Inaonyesha lingekuwa la Ally Kiba lingesaidia watanzania
ungekuwa wa maana ungesoma bila kuandika chochote umejiweka tofauti kumbe upo kundini
[emoji23] mkuu naomba link ya huo uziHahah yule dogo nilimuona aisee
Hata ingekua wuld edition mkuu.. Hamna kituuuuAlafu kitu ambacho hamkioni wengi apo ni kua thats a Lc200 wald edition
Thanx mkuuHuu apo mkuu.
Toyota vs ractis
YatamshindaKatika ukurasa wa instagram wa tttrautouprades , wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la diamond platnumz
[emoji116] [emoji91]
View attachment 777420
Hongera sana kijana [emoji119]
Akiweka najitoa JF.Weka picha tuione hiyo unayoizungumzia ww.