Wadau naona mnaniadhibu kwa kuleta bandiko lenye matobo.
UTETEZI: nilikuwa naangalia clouds tv ya pj nikaona mdau anaelezea ndinga festival ambapo kutakuwepo na maonyesho ya magari yasiyo ya kawaida ya kale na ya kisasa. Tukumbuke ni matukio yanayotokea huko nje mara kadhaa. Kwa huku ni mara ya kwanza.
Pia tujue watakuwepo wanunuz wa magari ya kazaman huko nje kwa bei kubwa hadi mil 100( kama babu amelipak shamban jua umekalia uchumi)
Tatizo sikujua ni lini na wapi.
Mtandaon sion kitu. Na humu jf ndo kuna kila kitu!
Bas mwenye nyama ajazie.