Ndg Rais Magufuli Yakupasa Ku Subsidize Kilimo

Ndio maana nikasema tunasuburi muelekezo wa serikali, they promise mageuzi ya kilimo. I hope watachomeka kitu kama hicho unachokisema. Mwanzoni mwa mwezi huu wa March walikuwa na workshop to discuss the policy and also to get some experience from Tanzanian farmers. Lots was discussed na waka ahidi watakuja na sera mpya ya kilimo.

http://www.kilimo.go.tz/index.php/e...agricultural-policy-conference-march-1-3-2017

Vyema san

http://foodsecuritypolicy.msu.edu/n...ural_policy_conference_march_13_dar_es_salaam

Nawapongeza kwa hatua hii nzuri kwa kuliona hili na kuamua kuliwekea makongamano na kanuni zenye sera ktk sekta hii. Ni ukweli ni hatua nzuri sana, yawataka tu kuona uhalisia na kuona ni wapi tulikosea na wapi tunaanguka ktk kilimo kwani ni sehemu mhimu sana ktk mapinduzi ya uchumi wetu.

Mimi ningewashauri tu ktk uandaji wa sera hizi wawe open zaidi kuruhusu wadau mbalimbali zaidi ili kuwe natija sahihi.
 
Back
Top Bottom