Ndg. Patrobas Katambi anahitaji tiba ya haraka sana (Seriously)

Huyu kijana kachanganyikiwa. Anajuta kwenda Shy town kugombea ubunge.
Tamko la Mwenyekiti wa Chama Tawala kua yule aliyepewa dhamana ya kazi nyingine akaitelekeza ili tu akagombee ubunge ni mtu mwenye tamaa na yeye kamwe hawezi kumteuwa tena kwenye nafasi yoyote mtu wa namna hiyo ndio linamtia wazimu huyu dogo

Anajitoa akili ili aonekane anatukana saana upinzani kwahiyo afikiriwe tena wakati nafasi yake ya Ukuu wa Wilaya ishajazwa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom