Ndege ya Magufuli leo kulitikisa anga la Tanzania, Chadema walipinga ununuzi wake

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Hii ni moja kati ya Zile ndege alizozinunua hayati Rais wetu Dkt JPM enzi za uhai wake akiwa madarakani.
Sasa leo hii ndege hii itatua nchini tayari kwa kuanza kazi.

Sasa watanzania wazalendo hatutaki tena leo hii ktk mapokezi ya hii ndege eti ununuzi wa hizi ndege ni mchango wa awamu zote kama mlivyotuambia ujenzi wa ikulu ya dodoma eti ni awamu zote zilihusika.

Tunataka kuskia mkimtambua hayati dkt JPM kwa upekee wake kama kiongozi jasiri na aliekuwa na uthubutu wa kulifufua shirika hili la ndege ATCL, siyo tena leo anajitokeza mtu fulani anatuambia yeye ndiye aliyechora ramani akaipeleka sijui wapi, yaani kutaka sifa zisizomuhusu, yaani ni sawa na ndg wanaogombania mali ALIZOZITAFUTA MAREHEMU.

Hakika Hayati Rais Dkt JPM ni mwamba unaotikisa ukiwa umelala, alama hizi za maendeleo alizotuachia watanzania zitadumu milele mioyoni mwetu na ndizo zonazotufanya TUMKUMBUKE KILA SIKU HASA KWA SISI WATANZANIA WAZALENDO.

Endelea kupumzika kwa amani Rais wetu
20230603_120116.jpg
 
Endelea kupumzika kwa amani Rais wetuView attachment 2644558
Mjinga wewe ndege ya Magufuri alinua kwa pesa zake za Mshahara wa Uraisi?
 
Sasa unataka Nini tuache kazi zetu huku chuo tuje hapo airport?
 
Magufuli was a country bumpkin.

Yani limbukeni fulani hivi anayependa vitoi kama mtoto.

Ndiyo maana kanunua ndege kabla ya kuwa na business plan.

Mwisho wake ndege zinakamatwa na wadai wa serikali yake tu.

Jitu moja jinga jinga, limeongoza wananchi wengi wajinga zaidi yake wanalisifia kwa ujinga.
 
Karibu upokee ndege ya mizigo
 
Hii ni moja kati ya Zile ndege alizozinunua hayati Rais wetu Dkt JPM enzi za uhai wake akiwa madarakani.
Sasa leo hii ndege hii itatua nchini tayari kwa kuanza kazi.

Sasa watanzania wazalendo hatutaki tena leo hii ktk mapokezi ya hii ndege eti ununuzi wa hizi ndege ni mchango wa awamu zote kama mlivyotuambia ujenzi wa ikulu ya dodoma eti ni awamu zote zilihusika.

Tunataka kuskia mkimtambua hayati dkt JPM kwa upekee wake kama kiongozi jasiri na aliekuwa na uthubutu wa kulifufua shirika hili la ndege ATCL, siyo tena leo anajitokeza mtu fulani anatuambia yeye ndiye aliyechora ramani akaipeleka sijui wapi, yaani kutaka sifa zisizomuhusu, yaani ni sawa na ndg wanaogombania mali ALIZOZITAFUTA MAREHEMU.

Hakika Hayati Rais Dkt JPM ni mwamba unaotikisa ukiwa umelala, alama hizi za maendeleo alizotuachia watanzania zitadumu milele mioyoni mwetu na ndizo zonazotufanya TUMKUMBUKE KILA SIKU HASA KWA SISI WATANZANIA WAZALENDO.

Endelea kupumzika kwa amani Rais wetuView attachment 2644558
MAGUFULI HANA NDEGE MNAJITEKENYA KISHA MNAJICHEKA NDEGE YA WALIPA KODI
 
Madege ambayo hayaingizi faida hata mara moja ni janga kubwa la kitaifa na alaaniwe yule aliyetuletea hasara hii!
 
Back
Top Bottom