Ndg Asprin

Mbn unampa laana ndogo huyu na wivu wake. Busara za babu hizo

Nilishangaa ulipo mfagilia eti ana busara, mwenye busara anataka mtu apate minyoo ya nguruwe?

Umewahi iona minyoo ya nguruwe ilivyo?
 
Hekima za Asprin zimesababishwa na namna alivyoipata elimu yake hapa mkoani mpakani na nchi ya Jauluo Nyeupe tofauti na vijana wa "mtakatifu" st. sijui nini

 

Naona tayari umeniondoa kwenye list
 
Nilishangaa ulipo mfagilia eti ana busara, mwenye busara anataka mtu apate minyoo ya nguruwe?

Umewahi iona minyoo ya nguruwe ilivyo?


Ndio si ile meupe inatokezea juu inashuka taratibu ukishtuka ipo mguuni katikati wanaita tegu. Babu bado anabusara zaidi kwani wewe umemkasirisha akaamua akupe laana ndogo tu minyoo. Babu oyeeee
 


PJ Nisamehe tupo pamoja, lakini busara za babu zimenigusa.
 
Post zako zinanifurahisha saana
Post zako zina busara saana
Natamani brain yako iwe yangu.
Yote haya ni post za wewe tu.
Big Up Kijana. Opps Babu.

The Following 13 Users Say Thank You to DaMie For This Useful Post:

Asprin (Today), bacha (Today), D5 (Today), Elia (Today), Fidel80 (Today), leney (Today), loveness love (Today), Masikini_Jeuri (Today), PakaJimmy (Today), Smiles (Today), Teamo (Today), The Finest (Today), WiseLady (Today)​




Mpaka Aspirin anapata MAUJIKO YOTE HAYA bila shaka katoka mbali sana, ngoja na mimi niige nyendo zake NZURI TU nione kama nitafika.
 
Makwenzi kwa watoto, Ngumi kwa wakubwa:israel::israel::israel:-Hapo Busara imetumika!!
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!-Hapo ndo Pumba za Babu Asprin!!!


Sikuwahi kujua haya mapumba nayoyamwaga humu, kwa wengine ni busara...lol

Ahsante my love loveness love.

Naruhusiwa kukuomba urafiki?..... natamani, tatizo kuna watu wana wivu bana!
 
Laiti ungejua nilivovimba mbichwa...lol
Unaweza kunipata kwenye PM pia.

Nashukuru sana DaMie..... Babu yangu alinambia ni heri umfurahishe mtu kwa maneno matamu kuliko kwa pesa nyingi....kwa sababu pesa yaweza kuisha, lakini maneno huwa hayaishi.
Mkuu, hapo umenipatia kweli kweli..................check signature yangu fasta.
 
Post zako zinanifurahisha saana
Post zako zina busara saana
Natamani brain yako iwe yangu.
Yote haya ni post za wewe tu.
Big Up Kijana. Opps Babu.

Mbona mi sioni hizo busara za huyu babu yenu?
.....Babu yao usijenge chuki kwa kuwa nimesema ukweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…