Ndg Asprin

Hongera leo naona umeambiwa ukweli. Una busara sana hilo halina ubishi
 
Tatizo PJ unakaribisha na "busara" zako za Mkono mtupu haulambwi......

Wenzako tunakaribisha kwa bakuli la maneno matamu yenye mahaba ya kibabu..........
Nimegundua kosa...Kumbeeee!:shocked:
 
Eagerly waiting. Karibu.

Hahahaha...niambie rafiki yangu wa masenksi. Mpaka sasa nashikilia kombe la SENKSI FROM DESIDII!

Huoni navyokupa heshima kwa busara zako?? Kuwa first wa kupata thanks yangu na iko peke yake
 
Asprin huyu huyu ninayemfahamu ooh swirry no! u can't be serious (me too naungana na wewe Damie Asprin nimekuzimia ila wewe jiandae naleta barua ya posa ):smile-big:
 
Asprin huyu huyu ninayemfahamu ooh swirry no! u can't be serious (me too naungana na wewe Damie Asprin nimekuzimia )

Nimesoma hapo tu. Wenye wivu na wapate minyoo ya kitimoto kwenye miguu yao.....minyoo na ianze na Fidel80.
 
Huyu mzee mwenzangu kama busara zimejaa, sana tu....tatizo ana tatizo la kuendekeza ukabaila......
 
Sikuwahi kujua haya mapumba nayoyamwaga humu, kwa wengine ni busara...lol

Ahsante my love loveness love.

Naruhusiwa kukuomba urafiki?..... natamani, tatizo kuna watu wana wivu bana!

wanasema maji ya kifuu ni bahari ya chungu.... hongera kwa kumfanya mtu aamke na kujisikia vyema zaidi... damie kanikumbusha tangazo la revola!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…