Ndevu zitaniharibia uhusiano wangu.

Nataman nikamuambie hivi "Mpenzi wangu nakupenda ila tatizo linakuja pale unapotaka kunibusu yaani ndevu zako kali kama pin huwa unanichoma pindi unaponibusu maeneo fulan ya mwili wangu" Kweli kwenye mapenzi wadada tunavumilia mengi.

Bahati mbaya sipendi kabisa ndefu...wengine wanasema ni nzuri zinachochea mwelekeo wa zoezi zima.Zinachafua kidevu na kupoteza muda wa kuwaona vinyozi
 
Same here. Mi wangu anashave daily kwa kuwa zikinichoma nampa makavu live.

Wakati mwingine hata mustachi unachoma kweli wakati wa kissing....mi nasemaga na yeye anajali hisia zangu.

Yani nipate maumivu eti nivumilie hata hamu si itapotea? Kwani yeye anataka kumvutia nani zaidi yangu? Mi kama sipendi basi inabidi atii amri.


kuna type ya nywele zinachoma kama sindano, kama pale kwangu na-prefer kusiwe na tofauti kati ya mwanaume na mwanamke
 
Wengine wanapenda vimzuzu, tena wanavisifia kweli!!! wengine hawapendi hata kusikia duuh mapenzi bana!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom