Ndesamburo achemka, out of touch!

kwa nn na yeye asistaafu ubunge? Kwa uzee wake huo? mnafiki2.
Ndo wapinzani hao, mzee kapanda chopper uzeeni haachi kushangaa.
Wakipewa nchi sijui itakuwaje?
CDM mstaafisheni huyo ale pensheni, hata mawazo ni ya kizee.
 
Kumbukeni magamba yalisema kutumia helcopter kwenye uchaguzi ni matumizi mabaya. Kwa kuwa ni vichwa vya wendawazimu wakasahau, na uchaguzi uliopita walitumia tatu tatu. Hahaha!!!!! finito!
 
kwanza helikopta ni ya ndesa sasa ushabiki wa nini?
Helikopta ni ya Ndesa, ni kweli kabisa, lakini hakusema atawapa serikali helikopta yake watumie, ameshauri viongozi wa serikali watumie helikopta. Helikopta ipi, ya kwake?

Mtu akisema hana mkate huwezi kumwambia kula keki! Kama sehemu tunashindwa kuifikia kwa gari itafikika kwa helikopta? How preposterous is that? Mbunge mwingine wa CCM, nadhani Mwambalaswa (Lupa) alilia na magari ya kifahari ya serikali, akapendekeza tuige Kenya ambapo wanatumia Volkswagen Passat. Akaja Mbunge wa Upinzani, ungedhani yeye angependekeza bajaji au baiskeli ( si upinzani bana?) duu... Ndesa kuja akamwaga radhi, kapendekeza helikopta! Akaonekana yuko out of touch vibaya mno!

wabunge wa CCM waache upotoshaji;hoja ya desamburo ni ya msingi kuna mahala tanzania ambako hakufikiki kwa barabara.... ni serkali kungalia nmna ya kufikia vijiji ambavyo havifikiki kirahisi kwa usafiri wa kawaida.Mkumba aache upotoshwaji ...
Kama tumeshindwa kuzifikia kwa njia ya kawaida je kwa njia isiyo ya kawaida ya helikopta ndio tutaweza?
 
Back
Top Bottom