KamweneIringa
Member
- Jul 11, 2015
- 30
- 1
kama tz ingekuwa daradara nishashuka mwenzenu na kupanda nyingine maana inakera kiukweli. hii! hii! hii!!.
Ukiona hata majengo ya hiyo inayoitwa airport wala hutashangaa kuona haina umeme. Uwanja muhimu kama huo umejaa vibanda kama vya kina mama ntilie. Aibu.
Ukiona hata majengo ya hiyo inayoitwa airport wala hutashangaa kuona haina umeme. Uwanja muhimu kama huo umejaa vibanda kama vya kina mama ntilie. Aibu.
Mmmm upo? vp kuhusu dr usiku bado?
Nakumbuka toka miaka ya 1984 habari ya kutua ndege usiku mwanza imekuwa ndoto ,hivi mpaka Leo mamlaka husika imeshindwa kutatua tatizo?kweli viongozi wapo likizo ya muda usiojulikana