Ndege za Kivita angani, nini sababu?

Ndege za Kivita angani, nini sababu?

On test,ni kitu cha kawaida kutest vyombo vya moto hasa vinapokaa muda mrefu bila ya kutumika na kuhusiana na uchaguzi nadhani ni conicidence tu kwani hata kama kutatokea vuruga uamuzi wa kutumia ndege utakuwa ni wa mwisho sana baada ya jitihada zote za kutuliza kuwa zimeshindwa.
 
kinachokera ni kwanini hizi ndege wanazipitisha kwenye makazi ya watu kama hapa dar wanatusababishia noisy pollution za kutosha akati kuna remote areas kibao zimejaa kwa mazoezi yao. mi ndo mana nadharau sana hawa decision makers wetu sijui huwa wanafikiria kwa kutumia nini?
 
Vindege vyenyewe vibovu tupu.

Vitakuja kuangukia kwenye makazi ya watu.
 
Acha uoga ww, sasa ulitaka zipitie chini ya maji?
 
Nchi ina mipaka ya maji, anga na ardhi; wakati wowote kuna vessel zinaweza kuwa kwenye maji ya Tanzania sio kupita tu bila ya kibali vilevile inaweza kuwa wanavua samaki kwenye maji yetu au wanataka kutupa taka kwenye maji yetu; kuwafikia na boti ni muda.

Kunaweza kukawa na ndege zipo kwenye anga za Tanzania bila ya kibali ziwe za abiria au spy planes.

Kuna nchi jirani zinaweza kuwa zinafanya mazoezi yao ya kijeshi karibu ni mipaka ya Tanzania. Matukio yote hayo yanaweza sababisha ndege kuruka kama ishara ya onyo ndio wanavyofanya duniani. Achilia mbali mazoezi yao ya kawaida ambayo lazima wayafanye kwenye mipaka yetu sisi sio marekani au superpowers wenye vibali vya kupaisha ndege kwenye anga nyingi tu duniani kwa makubaliano.

Katika yote mtu anafikiria the least reason ya kuona ndege za jeshi angani kutakuwa ni sababu za uchaguzi no wonder ukaamini Lowassa ni mabadiliko haya ndio mawazo ya UKAWA tu.
 
Nasikia leo kuna Marubani wamepata ajali, bado najiuliza kuna nini mpaka warushe ndege kipindi hiki??
 
Dah ama kweli kuna m2 alisema kuwa vndege vyenyewe n vbov nimeamini kama si vyo basi Mungu ana adhibu wanaozuia mabadiliko
 
Jf kiboko,sasa unataka ndege zikafanyie mazoez baharini? Wakutangazie ili iweje? Kuna madhara yeyote umeyapata? If no,kaa kimya unaweza siku mzuia mkeo kukupikia kisa nawe unaweza kupika!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom