Ndege za Kivita angani, nini sababu?

Ndege za Kivita angani, nini sababu?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,932
Reaction score
30,045
Wadau,

Leo tarehe 30/09/2015 jumatano mida fulani hivi ya saa mbili asubuhi niliona Ndege ndogo za kivita kama tatu hivi zikifukuzana kwa kasi kuelekea upande wa magharibi.

Tanzania ni nchi ya amani, na Watanzania tumezoea amani. Videge kama hivi navionaga tu kama kuna maadhimisho fulani, sio siku ya kawaida kama ya leo. Sidhani kama kulikua na matangazo kwa wananchi kua watarusha hizo ndege.

Sijaona kama kuna hatari yeyote ya Vita ijayokuja mpaka hivi videge vianze kupiga jaramba. Zaidi naona pengine viko kisiasa zaidi, labda tunatishana na kuogopeshana makusudi. Inawezekana navyo ni sehemu ya kampeni kwa namna moja ama ingine.

Binafsi nimewaza hivi, kama kuna wazo tofauti au la kuongezea basi karibu. Maana binafsi bado sijaelewa sawa sawa mantiki ya kurusha hizi ndege.
 
Hakuna kitu, hizo ni kwa ajili ya Southern Sudan na Somalia. Tanzania tutapiga kura kwa uhuru na amani na CCM watakabidhi serikali hii kwa amani bila tone la damu kumwagika.

Watu wamebadilika na siasa zimebadilika sana, mabavu hayana nafasi tena.
 
Mkuu inawezekana watu wamebadilika but wengine wanakuambia kwa kuimba kwenye kampeni zao kua Wao (Chama) ni Walewale
 
Ni kelele za chura tu hizo, hazituzuii kufanya maamuzi sahihi October 25!
 
Wadau,

Leo tarehe 30/09/2015 jumatano mida fulani hivi ya saa mbili asubuhi niliona Ndege ndogo za kivita kama tatu hivi zikifukuzana kwa kasi kuelekea upande wa magharibi.

Tanzania ni nchi ya amani, na Watanzania tumezoea amani. Videge kama hivi navionaga tu kama kuna maadhimisho fulani, sio siku ya kawaida kama ya leo. Sidhani kama kulikua na matangazo kwa wananchi kua watarusha hizo ndege.

Sijaona kama kuna hatari yeyote ya Vita ijayokuja mpaka hivi videge vianze kupiga jaramba. Zaidi naona pengine viko kisiasa zaidi, labda tunatishana na kuogopeshana makusudi. Inawezekana navyo ni sehemu ya kampeni kwa namna moja ama ingine.

Binafsi nimewaza hivi, kama kuna wazo tofauti au la kuongezea basi karibu. Maana binafsi bado sijaelewa sawa sawa mantiki ya kurusha hizi ndege.

Wakupime akili kwa hiyo amani imekuja tu?ukiona watu wenye mashaka na Dora ujue ni mafisadi na vibaka,kama hakuna sida yanini kuwa na mashaka,
 
Mbona haujatilia shaka vikundi vinavyoandaliwa kupinga watu mawe,na vikienea nchi nzima itakuwaje,acha ushabiki wa kijinga,
 
Wewe ndege zinakutisha ? wenzio tunaogopa vikundi vinavyowapiga watu mawe ili kuwatoa macho mama zetu
 
Watanzania mnashangaza sana. Kila kitu kwenu ni klialia tu. Kwahyo kama nchi ina aman unataka hata wazee wa kazi wasijiribu vitu vyao vya kaz?

Mbona mnajitutumua sana nyuma ya keyboard na kuanzisha vurugu za ovyo mitaan kwaajili ya matumbo ya akina lowasa na magufuli?

Leo ndege tu imepita umaenza kujilowanisha sasa siku ukiona magorofa ya posta yameshakuwa vifusi utakuwa na hali gani?
 
Kumbe kunaukomo wa nyakati kwa jeshi kurusha ndege zao....?!!!!

Hatkupewa taarifa kumbe kunakanuni inayopelekea jeshi kutoa taarifa kwa wananchi pindi ikirusha ndege zake ama tukio lolote la kijeshi???!!!..

Asante kunijuza hayo sikulijua ilo kama lipo nchin kwa usemi wa nchi ya amani
 
Mbona haujatilia shaka vikundi vinavyoandaliwa kupinga watu mawe,na vikienea nchi nzima itakuwaje,acha ushabiki wa kijinga,

Hivi vikundi naviona vingi sana maeneo ya Temeke. Hua wanafanya Jogging na inasemekana vinafadhiliwa na CCM
 
Wadau,

Leo tarehe 30/09/2015 jumatano mida fulani hivi ya saa mbili asubuhi niliona Ndege ndogo za kivita kama tatu hivi zikifukuzana kwa kasi kuelekea upande wa magharibi.

Tanzania ni nchi ya amani, na Watanzania tumezoea amani. Videge kama hivi navionaga tu kama kuna maadhimisho fulani, sio siku ya kawaida kama ya leo. Sidhani kama kulikua na matangazo kwa wananchi kua watarusha hizo ndege.

Sijaona kama kuna hatari yeyote ya Vita ijayokuja mpaka hivi videge vianze kupiga jaramba. Zaidi naona pengine viko kisiasa zaidi, labda tunatishana na kuogopeshana makusudi. Inawezekana navyo ni sehemu ya kampeni kwa namna moja ama ingine.

Binafsi nimewaza hivi, kama kuna wazo tofauti au la kuongezea basi karibu. Maana binafsi bado sijaelewa sawa sawa mantiki ya kurusha hizi ndege.

Ondoa huo wasiwasi wako. Kama huna la kusema usitudanganye sisi hapa, Tanzania ni lazima iendelee kuwa nchi ya amani na tutasimamia ukweli huo.

Kujengea wengine hofu ni ufinyu wa mawazo na kunzisha mada za kuchochea choche hapa. Uchochezi kwa wananchi ni jambo ambalo halikubaliki. Zungumza ukweli na siyo kuanzisha vijimambo vyako hapa.
 
Wakupime akili kwa hiyo amani imekuja tu?ukiona watu wenye mashaka na Dora ujue ni mafisadi na vibaka,kama hakuna sida yanini kuwa na mashaka,

Ndiyo nini hicho? Au ulimaanisha dola?
 
Hizo ndege hapa mwanza karibia kila siku zinafukuzanaga angani toka kikosi namba 206 airport, huwa zinarushwa na wachina.
 
Wadau,

Leo tarehe 30/09/2015 jumatano mida fulani hivi ya saa mbili asubuhi niliona Ndege ndogo za kivita kama tatu hivi zikifukuzana kwa kasi kuelekea upande wa magharibi.

Tanzania ni nchi ya amani, na Watanzania tumezoea amani. Videge kama hivi navionaga tu kama kuna maadhimisho fulani, sio siku ya kawaida kama ya leo. Sidhani kama kulikua na matangazo kwa wananchi kua watarusha hizo ndege.

Sijaona kama kuna hatari yeyote ya Vita ijayokuja mpaka hivi videge vianze kupiga jaramba. Zaidi naona pengine viko kisiasa zaidi, labda tunatishana na kuogopeshana makusudi. Inawezekana navyo ni sehemu ya kampeni kwa namna moja ama ingine.

Binafsi nimewaza hivi, kama kuna wazo tofauti au la kuongezea basi karibu. Maana binafsi bado sijaelewa sawa sawa mantiki ya kurusha hizi ndege.

Think about 14 October !
 
Wakupime akili kwa hiyo amani imekuja tu?ukiona watu wenye mashaka na Dora ujue ni mafisadi na vibaka,kama hakuna sida yanini kuwa na mashaka,

Mafisadi na vibaka huwa wanakamatwa na ndege za kivita?
 
Back
Top Bottom