Ndege za Jeshi Dar

Ndege za Jeshi Dar

Hizo ndege sio za jesho hata Sambeke ana ndege za njano, vijana wapo mafunzoni
 
Mchukue tahadhali nyie mnaokwenda huko kiwanjani kusherekea muungano kwani hizi ndege ni za zamani na huko nyuma ziliwahi kuanguka na kuua marubani kwenye maonesho ya sikukuu kama hiyo!!

Mkuu hiyo ilikua mwaka gani? Unaweza tupatia data kamili ya mwaka.
 
Ni ndege za jeshi jeshi letu za zamani sana! Zinafanya mazoezi kwa ajili ya sherehe za kitafa zinazokuja. Ndege kama hizo wenzetu walitumia miaka ileee ya hamsini kweusii...ni moja ya silaha chache tulizonazo na ambazo tunadanganywa kuwa jeshi letu ni la kisasa...

Acha kuponda vya kwako....hizo ndege zipo 5 kwenye mazoezi na ndege za kisasa, upya wa ndege sio sawa na wa gari au pikipiki, ndege yenye 10-15yrs bado inakuwa considered mpya tofauti na gari.....UMENIEREWA!
 
Hiyo huwa inatokea kila mwaka april nadhani kwa wale wenyeji wa dar huwa wanalifahamu hilo!
 
mchukue tahadhali nyie mnaokwenda huko kiwanjani kusherekea muungano kwani hizi ndege ni za zamani na huko nyuma ziliwahi kuanguka na kuua marubani kwenye maonesho ya sikukuu kama hiyo!!

tpdf.....wamepata ndege mpya za kivita ...hii pair ya ndege tano za sasa....ni tofauti na za mwaka juzi....ambazo zilipelekwa mbeya kumpiga nkwara dada joyce...
 
Wabongo nao zingepita hizo hizo zimepigwz chapa ya marekani tungesifia........leo mnasema scraper.......chadema ilindwa nani? Chadema cha mtoto jeshi ni la nchi nzima na wananchi
 
sasa kwanini wasitafute "non-occupied areas" ? yani wanafanya rehearsal town?
 
Back
Top Bottom