Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Konda atakuwa alisimamisha watu.Abiria zaidi ya tisini?, kwa hiyo ina maana walizidisha abiria maana Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 76 tu, kama ni hivyo tutasikia kilio muda si mrefu
Tutaiunga mkoni iwapo nauli zao zitakua zimekidhi viwango vya kumsaidia mtanzania tofauti na mamshirika ya binafsi, lazima wawe cheap compared to private Co.Tuiunge mkono ATCL
Hii ramli kabisaZitachoka Kabla Ya wakat
kiukweli kwa mwendo huu ATCL hawatawaweza Fastjet juzi Mimi nimekata ticket go and return Mwanza Dar kwa sh laki tatu wakati ATC walikua 434,000/- tena wadada wenyewe apa kwenye ofisi za Mwanza ata customer service bado sanaJuzi tarehe moja fast jet walikua wana one day sale kwa 79000 kwenye trip zake
Atcl wafanye biashara.Uzalendo uende na huduma nzuri
Fastjet wanatoa ushindani sana
Duh, abiria zaidi ya 90???Abiria zaidi ya tisini?, kwa hiyo ina maana walizidisha abiria maana Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 76 tu, kama ni hivyo tutasikia kilio muda si mrefu
Kweli kabisa mkuu. Nimeshangazwa na neno ambalo lipo kisiasa zaidi "uzalendo", hapa jambo linalotakiwa kuwashawishi wateja kibiashara zaidi kwa huduma bora zinazokidhi viwango na nafuu tukilinganisha na kampuni binafsi kama ulivyoandika mkuuTutaiunga mkoni iwapo nauli zao zitakua zimekidhi viwango vya kumsaidia mtanzania tofauti na mamshirika ya binafsi, lazima wawe cheap compared to private Co.