Ndege za 540 Zinaboa

Pole labda kama ulikua hujui sharti la kwanza kwenye iyo ndege ukiingia hakikisha hukai kwenye bawa utajutia na mara nyingi utaona abiria wote wanakaa sehemu nyngine labda ijae naweza jikuta unaomba mfuko wa rambo
 
Nilisafiri nao mara moja tu.. Jamaa hawatoi Bia bana! sijawahi rudia tena
 
Tarehe 22/5/2012 nikiwa Mwanza airport nilishuhudia abiria waliokaa airport zaidi ya four hours wakiambia 540 flight is cancelled. Nilikuwa na wenzangu wanakuja Dsm for a meeting next day morning thanks precision walikuwa na nafasi wakalazimika kukata tiketi kuondoka ndege ya saa tatu usiku. 540 wamefulia i support idea ya kuwa mzalendo na Air Tanzania
 
Nafikiri huu ni wakati muafaka wa kujivunia Air Tanzania (Wings of Kilimanjaro)
 
Sasa jamani Air Tanzania ishaanza kazi, tuweni wazalendo. Hao 540 kuwachelewesha abiria ni kawaida sana, nimeshakutana nao kama mara 3 na kikasema sirudii tena. Ni afadhali nipande Lucky Star au Zuberi bus kuliko kusafiri na 540.
 
Back
Top Bottom