Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

Twiga lazima wawe tofauti kwani hata ndege zenyewe ni tofauti. twiga mwenye afya yupo kwenye ndege iliyoshiba.
 
nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
 
Hiyo picha ni yawenzetu wahabeshi mliyoikodi baadae wakaichukua wenyewe baada kushindwa kuwalipa chao ni ndege kubwa aina ya boeing 767.lakini japo tulichelewa tutanunua kama 3 au 4 kwa mda mfupi kama miaka 25 hadi 30.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…