na do u expect kua hzo ndege zitaenda sehemu moja kila siku???nimekwambia utalii ni moja ya sababu ziko sababu nyingi lakin nimekutolea moja tu
so unamaumivu makali sana kwasababu tz imenunua ndege brand new cash deal 7 kwa pamoja?
Hoja yako ni uharaka wa manunuzi?
hujui kitu katika aviation industry so kaa kimyaNdiyo, sidhani kwa pupa wanayofanya walikuwa na muda wa kufanya UCHAMBUZI YAKINIFU uliyokuwa makini!!!
Kuna mijamaa humuna do u expect kua hzo ndege zitaenda sehemu moja kila siku???nimekwambia utalii ni moja ya sababu ziko sababu nyingi lakin nimekutolea moja tu
so unamaumivu makali sana kwasababu tz imenunua ndege brand new cash deal 7 kwa pamoja??
hujui kitu katika aviation industry so kaa kimya
kama hufurahii kwa sasa utafurahia kwa baadae alaf Air tanzania ni shirika linalofufuliwa sio jipya mbele ya macho ya watu na sio kwamba haikufanya kazi kwenda nje ya nchi huko nyuma sasa kama wamejipanga vyema na wamepata ndege mpya zisizo na stress ya loan au leasing bills lazima shirika litatengeneza faida kwa harakaSina maumivu bali sifurahii kodi yangu kutumika bila mpangilio unaoeleweka!!! Inaelekea hujui biashara na ndege, unafikiri ni sawa na biashara ya bajaj unakwenda kokote unakotaka wewe wakati wowote!!! Safari za ndege zina utaratibu wake ambao lazima ufuatwe ; huwezi kukurupuka tu leo unasema unakwenda America ukirudi unasema unakwenda China, haiko hivyo!!! Njia za angani ni lazima uwe na kibali.
Kununua ndege saba kwa kulipa cash sio sifa bali ni kutokujua mbinu za biashara; kwani hizo hizo ndege zingeweza kupatikana kwa masharti ambayo nchi ingebakiwa na fedha nyingi tu za kuwahudumia wananchi wanaoteseka na mafuriko kila mvua zinaponyesha!!
Haya ni mapungufu yanayozikumba nchi zinazoendeshwa kwa utawala wa kutokufuata sheria na katiba za nchi zao.
Sina maumivu bali sifurahii kodi yangu kutumika bila mpangilio unaoeleweka!!! Inaelekea hujui biashara na ndege, unafikiri ni sawa na biashara ya bajaj unakwenda kokote unakotaka wewe wakati wowote!!! Safari za ndege zina utaratibu wake ambao lazima ufuatwe ; huwezi kukurupuka tu leo unasema unakwenda America ukirudi unasema unakwenda China, haiko hivyo!!! Njia za angani ni lazima uwe na kibali.
Kununua ndege saba kwa kulipa cash sio sifa bali ni kutokujua mbinu za biashara; kwani hizo hizo ndege zingeweza kupatikana kwa masharti ambayo nchi ingebakiwa na fedha nyingi tu za kuwahudumia wananchi wanaoteseka na mafuriko kila mvua zinaponyesha!!
Haya ni mapungufu yanayozikumba nchi zinazoendeshwa kwa utawala wa kutokufuata sheria na katiba za nchi zao.
Kwa ushuzi huo?Unfortunately; hujui unamuandikia nani , naweza kukufundisha mambo ya AVIATION na ukihitimu ukapata kazi ICAO bila interview kwani recommendation yangu tu itatosha!!
hii ndio faida ya kununua ndege tena kwa haraka sana bila kuchelewaSina maumivu bali sifurahii kodi yangu kutumika bila mpangilio unaoeleweka!!! Inaelekea hujui biashara na ndege, unafikiri ni sawa na biashara ya bajaj unakwenda kokote unakotaka wewe wakati wowote!!! Safari za ndege zina utaratibu wake ambao lazima ufuatwe ; huwezi kukurupuka tu leo unasema unakwenda America ukirudi unasema unakwenda China, haiko hivyo!!! Njia za angani ni lazima uwe na kibali.
Kununua ndege saba kwa kulipa cash sio sifa bali ni kutokujua mbinu za biashara; kwani hizo hizo ndege zingeweza kupatikana kwa masharti ambayo nchi ingebakiwa na fedha nyingi tu za kuwahudumia wananchi wanaoteseka na mafuriko kila mvua zinaponyesha!!
Haya ni mapungufu yanayozikumba nchi zinazoendeshwa kwa utawala wa kutokufuata sheria na katiba za nchi zao.
Kwa ushuzi huo
If Museveni hires KQ what has that got to do with Tanzania? Have u seen JPM hiring KQ aircraft? I have only seen him boarding ET instead of KQ to Addis Ababa!tujikumbushe tu babayao ni nani.........KQ all the way!!
View attachment 763038
Is ET Tanzania's national carrier?If Museveni hires KQ what has that got to do with Tanzania? Have u seen JPM hiring KQ aircraft? I have only seen him boarding ET instead of KQ to Addis Ababa!
hata chadema haina faida kwa nchi kwa sababu inaendeshwa kwa hasara.zina faida Kwa nchi au zinaendeshwa Kwa hasara?
cag ebu tupe ukweli wa hizi ndege
I wanted to show u a preference for JPM if the need arises. U must be a failure in urban class.Is ET Tanzania's national carrier?
I wanted to show u a preference for JPM if the need arises. U must be a failure in urban class.
Wewe debe tupu unauliza swali ambalo ni jibuππ Mwaswast njoo uchukue huyu debe tupu katushindwa tabia.ππIs ET Tanzania's national carrier?
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner
Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
I can assure u we won't make those long streak record losses like KQ does! Watch the space..you can borrow, hire, kopa any plane you want lakini jinsi ya kuendesha biashara ya usafiri wa ndege mtafahamu sio dala dala au BRT. All the best!!!