unajua mkuu mi mwenyewe nilikuwa najiuliza sana hivi ni kwa nini kuna baadhi ya watanzania wanafurahi pale serikali inaposhindwa??nikaamua kufanya kautafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya watu wa dizaini hiyo ni wale ambao kiasili si watanzania,ni wale tuliowakaribisha tz kama wakimbizi na wengine wakapewa uraia,kama unakumbuka kuna kanyarwanda kamoja kaliwahi kutokea humu jf kutwa kuiponda tz!!na kumbe wazazi wake ni wanyarwanda waliokimbia genocide huko rwanda kenyewe kamezaliwa bongo !!kwa hiyo mkuu we achana nao tulishafanya kosa na sasa tunainuka "I love Tanzania.."Inasikitisha sana kuona wengine wakiiombea NCHI YETU mabaya KILA kukicha.
Sijajua wana MAANA GANI. KAMA unakumbuka ndege ilivyokamatwa Canada ilikuwa FURAHA kwao.
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner
Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
hivi mbona mnataka kumuua mwanake Geza Ulole ??Hizi ndogo ndio wakina Fast jet wajiandae kufunga virago sababu moto lazima uwake
Naysayers hawakosi kakaBiashara ya ndege ni kama biashara nyingine, ni ngumu.
Kutarajia faida ndani ya miaka miwili au hata mi5 ni kutojua biashara inavyoenda.
Biashara hii inahitaji long term planning, tunaingia kwenye biashara hii tukiwa tumezungukwa na washindani, hatawezi kupata faidi siku za karibuni. Ila kwa mipango na uendeshaji mzuri tutavuka.
Wengi hatujui faida ya ndege. Kwa ufupi kabisa, faida moja wapo ya ndege ni utalii na uwekezaji.
Ukipanda Kenya Airways, lazima itue Kenya, ukipanda Ethiopian Air lazima itue Ethiopia, sasa unatarajia vipi mtalii atue Kenya then apande nyingine kuja Tanzania kutalii? Kwa nini aangaike na asibaki kutalii Kenya?
Ndege zetu zitaleta watalii moja moja. Inaweza isiwe mwaka huu ila tutafika.
Uwanja wa ndege wa Nyerere umetanuliwa sana, je tunataka ujae na ndege za Kenya, Ethiopia, Rwanda na South Africa bila kuwa na Air Tanzania?
Yaani ni sawa kuwa nyumbani kwako kuna parking kubwa nzuri ila yana paki magari ya majirani tu.
We chi.zi huwezi kununua petrol wakati hauna gari au chombo chochote cha kutumia hayo mafuta.Mmaweza kuwa nazo 1000 lkn mkakosa willpower na markeing strategies. Tafuteni hizo kwanza
Aisee una akili nyingi km mjukuu wangu maana ninaporudi bibi yake akiniandalia chakula mezani anapanda juu ya meza halafu anaachilia mambo fulani. Hongera sanaWe chi.zi huwezi kununua petrol wakati hauna gari au chombo chochote cha kutumia hayo mafuta.
Andikisha watoto wengi wa kuanza shule ndo utagundua kuwa una upungufu wa madarasa kwa kiasi gani.
Ndege kwanza, willpower baadae
Ukweli ni kwamba nimekupiga panapouma, endelea kusikilizia maumivuAisee una akili nyingi km mjukuu wangu maana ninaporudi bibi yake akiniandalia chakula mezani anapanda juu ya meza halafu anaachilia mambo fulani. Hongera sana
Wanazuia au wanaathiri vipi maendeleo wakati hawamiliki dolaKiufupi hatuna wapinzani tuna waharibifu wa taifa letu, cha kushukuru ni kuwa rais anawajua vizuri ndo maana hataki kuwachekea hawa koko!!
AmeenUkweli ni kwamba nimekupiga panapouma, endelea kusikilizia maumivu
KQ ina boeing 787 nane(8) Zote kwa mkopo, Afadhali hizi mbili zilizolipwa pesa yote
sio za mkopo zile wamelease ππππKQ ina boeing 787 nane(8) Zote kwa mkopo, Afadhali hizi mbili zilizolipwa pesa yote
unajua mkuu mi mwenyewe nilikuwa najiuliza sana hivi ni kwa nini kuna baadhi ya watanzania wanafurahi pale serikali inaposhindwa??nikaamua kufanya kautafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya watu wa dizaini hiyo ni wale ambao kiasili si watanzania,ni wale tuliowakaribisha tz kama wakimbizi na wengine wakapewa uraia,kama unakumbuka kuna kanyarwanda kamoja kaliwahi kutokea humu jf kutwa kuiponda tz!!na kumbe wazazi wake ni wanyarwanda waliokimbia genocide huko rwanda kenyewe kamezaliwa bongo !!kwa hiyo mkuu we achana nao tulishafanya kosa na sasa tunainuka "I love Tanzania.."
UmeonaKQ ina boeing 787 nane(8) Zote kwa mkopo, Afadhali hizi mbili zilizolipwa pesa yote
Biashara ya ndege ni kama biashara nyingine, ni ngumu.
Kutarajia faida ndani ya miaka miwili au hata mi5 ni kutojua biashara inavyoenda.
Biashara hii inahitaji long term planning, tunaingia kwenye biashara hii tukiwa tumezungukwa na washindani, hatawezi kupata faidi siku za karibuni. Ila kwa mipango na uendeshaji mzuri tutavuka.
Wengi hatujui faida ya ndege. Kwa ufupi kabisa, faida moja wapo ya ndege ni utalii na uwekezaji.
Ukipanda Kenya Airways, lazima itue Kenya, ukipanda Ethiopian Air lazima itue Ethiopia, sasa unatarajia vipi mtalii atue Kenya then apande nyingine kuja Tanzania kutalii? Kwa nini aangaike na asibaki kutalii Kenya?
Ndege zetu zitaleta watalii moja moja. Inaweza isiwe mwaka huu ila tutafika.
Uwanja wa ndege wa Nyerere umetanuliwa sana, je tunataka ujae na ndege za Kenya, Ethiopia, Rwanda na South Africa bila kuwa na Air Tanzania?
Yaani ni sawa kuwa nyumbani kwako kuna parking kubwa nzuri ila yana paki magari ya majirani tu.
Kwenye mapato yote KQ ni 48% inaenda serikalini bado makato ya leasing bills na other expenses unaeza kuta hata hawana tofauti na precision air
KQ leases out planes at a loss, Because it is much more of a loss to have an aircraft sitting idle because you do not have money to operate it. In short, it leases out planes to reduce loss not to make profitWewe mwenye unajua sana niambie ni ndege ngapi KQ imelease. Hivi mnaelewa kwamba KQ pia Ina ndege nyingi ilizolease out kwa airline zingine?