IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIAUKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje ya nchi, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Kutokuwepo kwa ndege hiyo, kumesababisha Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wa zaidi ya watu 14, ulioondoka nchini jana kwenda Davous, nchini Sweden, kuhudhuria mkutano wa dunia wa mambo ya uchumi, kuondoka na ndege ya Shirika la Ndege la Qatal.......
na Mwandishi wetu
Is Davos in Sweden? I doubt the accuracy of the information!• IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIAUKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje ya nchi, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Kutokuwepo kwa ndege hiyo, kumesababisha Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wa zaidi ya watu 14, ulioondoka nchini jana kwenda Davous, nchini Sweden, kuhudhuria mkutano wa dunia wa mambo ya uchumi, kuondoka na ndege ya Shirika la Ndege la Qatal.......
na Mwandishi wetu
kama ulikuwepo mkuu,hawa jamaa wababaishaji kweli,hata shirika la ndege eti wanaandika QATAL,Waziri NDUNDU mara nje ya nchi,afazali nawe umeliona hilo...Ndo matatizo ya copy and paste kaka.Waandishi wetu wa habari noma, kwanza sioDavous ni Davos na muhimu zaidi haipo Sweden ipo Switzerland. Yaani mambo ya kugoogle kwa dakika mbili yanawashinda.
waandishi wetu wa habari noma, kwanza siodavous ni davos na muhimu zaidi haipo sweden ipo switzerland. Yaani mambo ya kugoogle kwa dakika mbili yanawashinda.