Ndege ya malaysia ilibadili mkondo maksudi:

Ndege ya malaysia ilibadili mkondo maksudi:

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Mtambo wa mawasiliano wa ndege ya Malaysia iliyotoweka wiki moja iliopita, ulizimwa kwa maksudi.

Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya waziri mkuu wa Malaysia Najib Razak.

Alisema kuwa ndege hiyo ilibadili mkondo na kuendelea kuruka kwa saa saba zaidi ya muda uliotakiwa kulingana na mawasiliano yaliyorushwa kwa Satelite na mtambo wa Radar.

Juhudi za kuitafuta ndege ya Malaysia bado zinaendelea.
 
It is said that one of the pilots decided to hijack this plane, and of course there must be reason for hijacking. Finally the end is deaths of the innocents, RIP
 
Waziri alitakiwa kueleza uzembe umefanyika wapi,vipi?
Na ni hatua gani kwa wote walohusika zimechukuliwa ?
Angetoa deadline lini itakuwa imepetikana.
Na hatimae kuomba radhi jumuiya ya wana Malasia na Dunia kwa ujumla kwa uzembe na upotevu wa roho za watu wasio na hatia!
Jumuia ya kimataifa inatakiwa kuchunguza tukio hilo kama halihusiani na ugaidi kwa namna moja au nyingine!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii ndo style ya kuwaandaa kisaikolojia ndugu wa abiria walokuwemo kwenye ndege,sasa itakua wapi hiyo ndege????hapo mamlaka za Malaysia ndo zinapaswa kuutatua huu mtanziko
 
ndege ilipofika ktk anga la kimataifa,aliens waliiteka na kuondoka nayo hadi ktk sayari wanayoishi,na wale abiria wote wako hai,wamewekwa mateka na aliens ila chakula ndo kinawashinda kula,hicho ndo kitakacho waua,source of news comes from pluto planet!
 
Wanajaribu pia kuangalia changamoto za kimaisha kwa Marubani wote wawili pamoja na shinikizo za kiakili, japo wana rekodi nzuri katika utendaji wao wa kazi.
 
Leo wamekagua nyumba ya Pilot wamekuta flight simulator basi akili zao zooote zimeamia kwa Pilot eti akikuwa na mpango unafanyika kwake.. Huyu amekuwa Pilot wao toka 1981
 
Back
Top Bottom